# Sentensi ungsnishi Hapa simulizi inabadili mandhari ya muda na eneo. simulizi inakuwa ni ya Yesu akimponya mtu mwingine # Yesu alipofika Hawa wanafunzi yawezekana walikuwa na Yesu, lakini mtazamo wa hadithi Yesu alisema nini na kufanya nini, hivyo watambulishe wanafunzi pekee ikiwa inalazimika kuepusha maana ya uongo. # Mama mkwe wa Petro Mkwe - "mama wa mke wa Petro" # homa ikamwacha Ikiwa lugha yako itaelewa msemo kuwa homa inaweza kufikiri na kutenda yenyewe, hii inaweza kutafsiriwa kama "yeye akawa mzima" au "Yesu akamponya yeye: # akaamka "akaamka toka kitandani"