# wewe Hapa "wewe" ni wingi na ina maanisha "wale ambao walikuwa wakimfuata yeye" # kutoka mashariki na magharibi Unapotumia kinyume "mashariki" na "magharibi" ni njia ya kusema "kila mahali," "kutoka kila mahali" au "kutoka mbali kila upande" # wataketi katika meza watu katika utamaduni walikaa chini pembeni ya meza wakiwa wanakula. Huu msemo unaonyesha kwamba wale walio mezani ni familia na marafiki wa karibu. "ishi kama familia na rafiki." # katika ufalme wa mbinguni Hapa "ufalme" ina maanisha utawala wa Mungu kama mfalme. Msemo "ufalme wa mbinguni" umetumika katika kitabu cha Mathayo. Ikiwezekana, andika "mbinguni" katika tafsiri yako. "wakati Mungu wetu mbinguni anaonyesha kwamba yeye ni mfalme." # watoto katika ufalme watatupwa Hii inaweza kuelezwa katika mfumo hai. "Mungu atawatupa watoto katika ufalme." # watoto katika ufalme Usemi "watoto wa"ina maanisha wale ambao wanamikiwa na kitu fulani, kwa namna hiyo ufame wa Mungu. Kuna kejeli pia hapa kwa sababu "watoto" watatupwa nje wakati wageni watakaribishwa. "wale ambao waliruhusu Mungu awatawale wao." # nje gizani Haya maelezo yanamaanisha hatua ya mwisho ya milele kwa wale waliomkataa Mungu. "sehemu ya giza mbali kwa Mungu" au "kuzimu" # itendeke hivyo kwako Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai. "hivyo nitafanya kwa ajili yako wewe" # mtumishi aliponywa Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai. "Yesu alimponya mtumishi" # kwa wakati huo kwa muda ule Yesu alisema yeye atamponya mtumishi."