# Mathayo 07 Maelezo ya Jumla ## Muundo na upangiliaji Kwa kuwa sura hii hubadilika haraka kutoka kwa mada moja hadi nyingine, inawezekana kutumia mstari wa nafasi kati ya mada ili kutofautisha kati yao kwa urahisi zaidi. ## Dhana maalum katika sura hii ### Mathayo 5-7 Mathayo 5-7 kwa pamoja huunda mahubiri au mafundisho ya Yesu. Mgawanyiko wa sura husababisha kuchanganyikiwa hapa. ### "Utawajua kwa matunda yao" Matunda ni taswira ya kawaida katika maandiko. Inatumika kuelezea matokeo ya tabia nzuri au mbaya. Katika sura hii, matunda mazuri ni matokeo ya kuishi kama Mungu anavyoamuru. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/other/fruit]]) ## Links: * __[Matthew 07:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../06/intro.md) | [>>](../08/intro.md)__