# Hivyo basi "Kwa sababu hiyo" # maneno yangu Hapa "maneno" yanarejea kile ambacho Yesu alisema # kama mtu mwenye hekima aliyejenga nyumba juu ya mwamba Yesu analinganisha wale wanaotii neno lake na mtu aliyejenga nyumba ambayo haitazulika na kitu. # mwamba Huu ni mwamba mbaya chini ya mchanga ulio juu na udongo, sio jiwe kubwa au mpaka juu ya ardhi. # ilikuwa imejengwa Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo tendaji. "yeye alijenga"