# Maelezo kwa ujumla Yesu anawaambia makutano juu ya kile kinachoweza kutokea baadaye katika maisha yao binafsi. viwakilishi vya "u" na "yao" viko katika wingi. # mbwa....nguruwe Wayahudi waliwachukulia wanyama hawa kuwa wachafu, na Mungu aliwaambia wayahudi wasiwale. Huu ni msemo kwa watu waovu ambao hawathamini vitu vitakatifu. Itakuwa vizuri kutafsiri maneno haya kiualisia. # lulu Hiki ni sawa na mviringo,jiwe la thamani au glasi. Ni misemo ya elimu ya Mungu au vitu vyenye ubora kiujumla. # wanaweza kuviharibu "nguruwe wataviharibu" # na tena watageuka na kurarua "na mbwa watageuka na kurarua"