# Maelezo kwa ujumla Yesu anawaambia makutano juu ya kile kinachoweza kutokea baadaye katika maisha yao binafasi. viwakilishi vya "u" na "yako" vimo katika umoja lakini vinaweza kutafsirika katika wingi. # kwa nini unatazama....Unawezaje kusema Yesu anatumia maswali yote kufundisha na kutoa changamoto kwa watu. Yeye anataka wao wajiangalie dhambi zao kabla ya kuangalia dhambi za mtu mwingine. # kipande cha mti ni msemo # kaka Hii inamaanisha mkristo mwenzako, siyo kaka halisi au jirani # kipande cha mti Sehemu ya kipande kikubwa cha mti ambacho mtu amekikata chini. Ni kipande cha ubao kwa mbali kikubwa kiualisia kimeingia kwenye jicho la mtu. Huu ni msemo muhimu kwa mtu mwenye makosa