# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwafundisha wanafunzi wake katika mahubiri ya mlimani, yanayoanzia 5:1 # Maelezo kwa ujumla Yesu anawaambia makutano juu ya kile kinachoweza kutokea kwao baadaye katika maisha binafsi. viwakilishi vya "nawe" na amri viko katika wingi. # Usihukumu Inamaanisha hapa kwamba "hukumu" ina maana ya msingi kuwa "kushutumu vibaya" au "kutangaza kosa"AT:"Usishutumu watu vibaya." # nawe usije ukahukumiwa Hii inaweza kutafsiriwa kwa mfumo hai.AT:"Mungu hawezi kukushutumu wewe vibaya." # Kwa Uwe na uhakika msomaji anaelewa maelezo ya mstari wa 7:2 uwe na msingi alichokisema Yesu katika wa 7:1 # kwa hukumu utakayohukumu, nawe utahukumiwa Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai.AT: "Mungu atakushutumu wewe hivyo hivyo kama # kipimo Tafsiri inayowezekana ni 1) hii ni kipimo cha hukumu unayopewa au 2) hiki ni kiwango kinachotumika kwa kuhukumu. # utapimiwa hicho hicho Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai. "Mungu atatumia kipimo hicho kwako."