# Maelezo kwa ujumla viwakilishi vyote vya "mta" na "yako" ni vya wingi. hata hivyo, Yesu anawaambia kile kitakachotokea baadaye katika maisha binafsi kama kila mmoja hatasamehe wengine # maovu "makosa" au "dhambi" # Baba Hii ni sifa muhimu ya Mungu