# Taarifa kwa ujumla: Katika mstari wa 7, Yesu amemkemea Shetani na nukuu nyingine kutoka Kumbu kumbu # Tena imeandikwa Imefahamika kuwa Yesu anamaanisha ana nukuu maandiko tena. Hii inaweza kuelezwa katika namna iliyo tendaji. "Tena, nitawaambia Musa alichoandika katika maandiko." # Usimjaribu Hapa "usi" inamaanisha yeyote. "Mtu hapaswi kumjaribu" au "Hapana mtu anapaswa kumjaribu." # Tena, Ibilisi "Baada ya hapo, Ibilisi" # Alimwambia "Ibilisi alimwambia Yesu" # Vitu vyote hivi nitakupa "Nitakupa vitu vyote hivi." Mjaribu anasisitiza kuwa atampa "vitu vyote," si tu baadhi yake.