# siku za kale, na miaka ya zamani hizi aya mbili kimsingi zina maana mojana zinasisitiza kuwa sadaka zilipaswa kumpendeza Bwana. "kama ilivyokuwa huko nyuma." # karibia "Sogea karibu" # Usimwonee mfanya kazi katikamshahara wake "Usimlipe mfanyakazo mshahara kutokana na yeye alivyo" # kumweka mbali mgeni kutoka kwenye haki zake kukataa wageni kuishi kwenye jamii ambayo ni haki kila mtu anapata.