# Akilia kwa sauti kuu, Yesu alisema, "Baba mikononi mwako naiweka roho yangu," Mungu Baba alikuwa amemtuma Mungu Mwana kufa msalaba ili afanyike sadaka ya mwisho kwa ajili ya dhambi za binadamu. Lakini, Mwana bado alimpenda Baba na kumkabidhi maisha yake kwa Baba yake # Akilia "kupasa sauti" # Baba Hii ni cheo muhimu kwa Mungu # mikononi mwako naiweka roho yangu "Naiweka roho yangu kwako" au " Nakupa roho yangu, nikijua utaitunza" # baada ya kusema hivyo "Baada ya Yesu kusema hivyo" # akafa "Yesu akafa" # yaliyotendeka "mambo yaliyotokea"