# Kukaribia "Kusogelea" au "kuwa karibu" # Mji Hii inamaanisha Yerusalemu. # Aliulilia Neno "ule" linamaanisha mji wa Yerusalemu, lakini linawakilisha watu wanaoishi ndani ya mji huo. # Laiti ungelijua Huu ni mshangao. Yesu alionyesha huzuni yake kwamba watu wa Yerusalemu hawakujua mambo haya. Maelezo haya yanaweza kuongezwa mwishoni mwa sentensi "hivyo mngeweza kuwa na amani." "Natamani mtambue au "nina huzuni kwa kuwa hamjui." # Wewe Neno 'wewe' ni umoja kwa sababu Yesu alikuwa akizungumza na mji. Lakini kama hii haitakuwa na uhalisia katika lugha yako, unaweza kutumia wingi wa "wewe" kwa kutaja watu wa mji. # Yanmefichwa machoni pako "Hamuawezi kuona tena" au "hamkuweza kufahamu"