# akawambia yesu akawaambia # wote Hii inamaanisha wanafunzi wake wote waliokuwa na yesu. # kunifata mimi "kunifata mimi" au "kuongozana na mimi kama mwanafunzi" # ajikane AT: "kujijitoa kwa nfasi yake mwenywe," au "na aache tamaa yake mwenyewe" # achukue msalaba wake kila siku "auchukue na aubebe msalaba wake kila siku." Hii haimaanishi aubebe msalaba kila siku. Inamaanisha wafuasi wake wakatae vitu wanavyovitakana wawe tayari kuteseka na kufa ili kumtii yesu. # anifuate "kenda pamoja na mimi" au "kuanza kunifuata na kuendelea kunifuata" # kitamfaidia nini mwanadamu...binafsi? Yesu anatumia swali kuwafundisha wanafunzi wake. AT: "mwanadamu hapati kitu chochote kizuri...binafsi." # kama akiupata ulimwengu wote "kama atapata kila kitu ulimwenguni" # akapoteza au akapata hasara yake binafsi AT: "yeye mwenyewe atapotea"