# Hamkuwahi hata kusoma ... yeye? Yesu anawakemea mafarisayo kwaajili ya kutojifunza maandiko. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi NI: "Mtajifunze kutokana na yale mliyo soma .... yeye" # Mkate wa wonyesho "Mkate mtakatifu " au "mkate ambao uliokuwa ukitolewa sadaka kwa Mungu" # Mwana wa Adam Yesu alikuwa anarejea yeye peke yake. 'Mimi' Mwana wa Adam. NI: "Mimi, Mwana wa Adamu" # ni Bwana wa Sabato Cheo "Bwana" hapa inasisitiza mamlaka juu ya Sabato. NI: "ana mamlaka kutambua kipi ni sahihi kwa mtu kufanya siku ya sabato!"