# Sentensi kwa Ujumla Yesu anawakumbusha watu, wanaomsikiliza kwenye sinagogi, kuhusu Eliya na Elisha waliokuwa manabii ambao waliwafahamu. # Lakini nawaambia ukweli "Nawaambia ukweli kabisa." Kauli hii ilitumika kusisitiza umhimu, ukweli na usahihi wa kauli zinazofuata. # wajane mjane ni mwanamke aliyefiwa na mume wake. # wakati wa Eliya Watu wale aliokuwa anawahutubia walijua kwamba Eliya alikuwa mmoja wa manabii wa Mungu. Kama wasomaji wako hawatajua hilo, unaweza ukafanya taarifa zisizowazi kuwa wazi kma UDB. AT: "Eliya alipokuwa anatoa unabii Israel" # wakati wingu lilipofungwa Hii ni sitiari. Anga limefananishwa na dari iliyofungwa, na hivyo hakuna mvua itakayonyysha toka huko. NI: "ambapo hakuna mvua inashuka chini kutoka angani" au "wakati ilikuwa hakuna mvua kabisa" # njaa kubwa "tatizo kubwa la kupungua chakula." Njaa ni kipindi kirefu ambapo hakuna uzalishaji wa mazo ya kutosha chakula kwa watu. # mpaka Sarepta ... kwa mjane anayeishi huko Watu walioishi Sarepta walikuwa Wamataifa, siyo Wayahudi. Watu wanaomsikiliza Yesu wangeelewa kwamaba watu wa Sarepta walikuwa Wamataifa. Mjane mmataifa anaishi Sarepta. # Naamani Msiria Msiria ni mtu kutoka nchi ya Siria. Watu wa Siria ni siyo Wayahudi. NI: "Mmataifa Naamani kutoka Siria"