# Akihubiri ubatizo wa toba Neno "Ubatizo" na "Toba" yanaweza kuelezewa kama vitendo. AT: "na alihubiri kwamba watu wale inapaswa kubatizwa kuonyesha kwamba walikuwa wakitubu." # Kwa ajili ya msamaha wa dhambi "Ili kwamba dhambi zao zingeweza kusamehewa" au "ili kwamba Mungu angeweza kusamehe dhambi zao." Toba ilikuwa kwamba Mungu aweze kusamehe dhambi zao.