# Endapo hamtanisikiliza Kusikliza huwakilisha yale aliyoyasema. : "kama hamnitii mimi" # kuenenda kinyume na mimi Tazama maelezo katika mistari iliyotangulia katika sura hii. # nitakwenda kinyume nanyi Tazama maelezo katika mistari iliyotangulia katika sura hii. # Nami nitawaadhibu hata mara saba Tazama maelezo katika mistari iliyitangulia katia sura hii.