# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa yawapayo watu kutenda katika nyakati za ssiku maalum. # siku ya saba ni Sabato ya kupumzika kabisa hili ni jambo ambalo watu yawapasa kulifanya kuwa mazoea yao. Kila baada ya siku sita katika watakazofaanya kazi, nilazima wapumzike katika siku ya saba. # kusaniko takatifu Yale makwa ambayo watu walikusanyika kumwabudu Mungu katika siku hiyo yamezungumziwa kana kwamba siku hiyo ilikuwa ni kusanyiko. : "siku taktifu, ambayo yawapasa kukusanyika kuniabudu mimi"