# ndipo atakuwa safi Tazama maelezo ya sura 13:23 # uliookotwa au mnyama aliyeraruliwa na wanyama pori Hii aweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ambaye mtu mwingine amemwokota akiwa amekufa au yule ambaye mnyama pori kamrarua"