# unaotoka mwilini mwake Hii hurejelea semhemu nyeti za mtu. # huwa najis Tazama maelezo ya sura 13:20 # ni najisi "mwili wake ni najisi" au "yeye ni najisi"