# Taarifa kwa Ujumla Tazama maelezo ya sura 14:3 # ndege aliyechinjiwa Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Ndenge ambaye mtu alimuua" # mtu ambaye amekuwa akitakaswa Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "mtu anayemtakasa" # atamtangaza kuwa safi Tazama maelezo ya sura 13:23