# ukungu katika vazi....lilotengenezwa kwa ngozi Tazama linavyofasireiwa katika sura 13:47 # ili kwamba mweze kuvitangaza "ili kwamba kuhani aweze kukitangaza" # safi au najisi Tazama maelezo ya sura 13:20-23