# mbuzi wa kwanza Neno "wa kwanza" ni namba ya mpango kwa ajili ya namba moja. : "mbuzi kwa ajili ya sadaka yake mwenyewe. # pamoja na sadaka ya asubuhi ya kuteketezwa Hii humaanisha dhabihu ya kwanza ya kila siku. kuhani angieitoa dhabihu hii ya kuteketezwa asuhubi kabla ya dhabihu nyingine yot yote. Maana kamili yaweza kufanywa wazi.