# Kitendeke Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "sisi tutende" # Kufanya upatanisho kwa ajili yenu Ile Nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. : " Kupatanisha kwa ajili ya dhaambi zenu" # hivi ndivyo nimeamriwa Hii yaweza kufasiriwakatika mtindo wa utendaji. "hivi ndivyo ameniamru"