# Naye akamkatakata kondoo "Musa akamkata kondoo" # ilitoa harufu ya kupendeza Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 1:7 # sadaka iliyofanywa kwa Yahweh kwa moto Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Sadaka aliyoiteketeza kwa Yahweh"