# sadaka ya dhambi...haitaliwa Hii yaweza kutamkwa ktika mtindo wa utendaji. "Hakuna hata mmoja atakayeila sadaka ya dhambi" # ambayo damu yake inaletwa kwenye hema la kukutania Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. ; Amabayo kutoka kwayo kuhanai anatoa damu ya kuleta kwenye hema la kukutania" # Ni lazima iteketezwe. Hii yaweza kutamkwa ktika mtindo wa utendaji. : "lazima Kuhani ataiteketeza"