# Maelezo ya Jumla Shairi lipya la anzu. # Kumbuka "Fikiria kuhusu" # uone aibu yetu "angalia hali ya aibu tuliyo nayo" # Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni "Umeruhusu wageni kuchukua " # nyumba zetu kwa wageni "umeruhusu wageni wachukuwe mali za urithi wetu" # Tumekuwa yatima ... mama zetu ni kama wajane Watu wa Yerusalemu hawana mtu wa kuwalinda kwasababu wanaume wamekufa vitani au wameenda matekani. # Lazima tulipe fedha kwa maji tunayo kunywa "Lazima tulipe fedha kwa maadui zetu ili tunywe maji yetu" # tulipe fedha kupata mbao zetu "maadui zetu wanatuuzia mbao zetu"