# Ameziba njia yangu "alinizuia kuto mtoroka" # mawe ya kuchonga mawe mtu aliyo yakata katika maumbo yakulingana yanayo ingiliana na kuimarisha ukuta # mawe; amefanya njia yangu mbaya Maana inayo wezekana ni 1) "mawe, hivyo siwezi kwenda sehemu" au 2) "mawe; kila njia ninayo ichukuwa haiende mahali" # amegeuza pembeni njia zangu Maana inayo wezekana ni 1) "amenivuta nje ya njia" au 2) "kasababisha njia yangu kwenda kumelekeo mbaya"