# binti wa Sayuni Hili ni jina la kishairi la Yerusalemu, ambalo la zungumziwa hapa kama mwanamke. # Amenyoosha kamba ya kipimo "Amepima urefu wa ukuta" hivyo anajua kiasi cha kuharibu # hajauzuia mkono wake kutoharibu "Ameharibu kwa kutumia nguvu zake zote" # hajauzuia mkono wake "ameuweka mkono wake kwake" # Amefanya minara na ukuta kuomboleza; pamoja vilipotea "Kwasababu ameharibu minara na kuta, inaonekana kama watu wanao omboleza na kupoteza nguvu"