# Ametoa ... mikononi mwa adui "Ameugeuza kwa ... kwa adui" # Wamepaza sauti nyumbani mwa Yahweh, kama siku ya sherehe Huu ni mfano wa kushangaza katika ya furaha, kelele za sherehe za Israeli na sauti za ushindi za wa Babilonia.