# Maelezo ya Jumla Mwandishi anaendelea kutumia mifano kuelezea upizani wa Mungu kwa Yuda. # amekata kila pembe ya Israeli Hapa "pembe" (ambalo ni, pembe la mnyama) lina maana ya "uweza" # Ameurudisha mkono wake "ameacha kutulinda na maadui zetu" # amepindisha upinde wake kuelekea kwetu Mwanajeshi alipaswa kupindisha upinde wake ili kuupiga. # hema la binti wa Sayuni "nyumba za watu Yerusalemu" # binti wa Sayuni Kuna jina la kishairi la Yerusalemu, ambalo linazungumziwa hapa kama mwanamke. # Amemwaga gadhabu yake kama moto "ameonyesha jinsi alivyo na hasira kwa kuwa haribu kila kitu kama mtu anavyo washa moto"