# maelezo ya jumla Balaamu ni Nabii aliye kataa kulahani Israel kwa ajiili ya adui lakini akamfundisha huyo adui kuwafanya watu waoe wasio amini na wawe waabudu sanamu. # maelezo ya jumla Kora alikuwa ni muIsraeli aliye asi uongozi wa Musa na ukuhani wa Aruni. # bishana kuhusu mwili walibishana juu ya nani atachukua milki ya mwili. "bishana kuhusu nani angechukua milki ya mwili." # Mikaeli...hakuthubutu kuleta kinyume naye "Mikaeli...alijizuia mwenyewe kumkemea ibilisi # hukumu au kuleta maneno ya matusi "upinzani wa nguvu au maneno yasiyo na heshima" # Lakini watu hawa "watu hawa" ni watu waovu waliotajwa mapema. # tusi mambo yote ambayo hawayaelewi "kuongea pasipo heshima kinyume na chochote ambacho hawakijui maana yake" # njia ya Kaini Kaini alimuua kaka yake Abeli. # kosa la Balaam kwa ajili ya mshahara Balaamu alijaribu kulaani Israeli kwa ajili ya pesa. # uasi wa Kora Kora aliasi dhidi ya uongozi wa Musa na ukuhani wa Aron.