# kwa kuwa walisema Hii inarejelea kwa Warubeni na Wagadi # Ni ushahidi miongoni mwetu Madhabahu inasemwa kana kwamba alikuwa ni shahidi ambaye angeshuhudia kwa ajili ya makabila matatu.