# Gershoni Gershoni alikuwa ni mmoja wa wana wa Lawi # Upigaji wa kura Hii ni njia ya kuchagua ambayo ilikuwa ya kubahatisha yaani bila mpango maalumu ili kuondoa utashi wa viongozi, mara kwa mara ilifanywa kwa wazo kuwa Mungu ataamua matokeo # Merari Merari alikuwa ni mmoja kati ya wana wa Lawi