# kwa mkono wa Musa Hapa neno "mkono" linarejelea maandiko ambayo Musa aliyaandika. "kupitia mambo ambayo Musa aliyaandika" # akiua mtu bila kukusudia Hii hutokea pale ambapo mtu humwua mtu mwingine bila kunuia kufanya hivyo. # kulipiza kisasi kwa damu ya mtu aliyeuliwa kulipiza kisasi kwa damu ya mtu aliyeuliwa Hapa kumwaga damu ya mtu kuna maana ya kifo. Muundo tendaji unaweza kutumika."kulipiza kisasi cha kifo cha mtu"