# Upigaji kura wa nne Tafasiri kirai hiki kama vile ulivyofanya katika 19:1 # wa nne namba ya nne katika orodha # Kesulothi...Shunemu...Hafaraimu...Shioni...Anaharathi Haya ni majina ya mahali/sehemu