# Maelezo ya jumla Mwandishi anaendelea kuorodhoshe miji ambayo ilikuwa katika nchi na ambazo kabila ala Benyamini. # Huu ulikuwa ni urithi wa Benyamini Nchi na miji ambayo kabila l Benyamini walipewa inaongelewa kana kwamba ilikuwa ni urithi kama mali ya kudumu.