# Eni Shemeshi...Gelilothi...Adumimu...Bethi Araba Haya ni majina ya sehemu/mahali # Jiwe la Bohani Hili lilikuwa ni jiwe kubwa ambalo mtu fulani aliliweka kama alama na liliitwa kwa jina la mtu aliyeitwa Bohani. # bega la Bethi Araba Nchi ambayo ina mteremko au mgongo ulioinama inasemwa kana kwamba ni bega. "Mteremko wa Bethi Araba"