# Maelezo ya jumla Yoshua anaendeleza hotuba yake kwa watoto wa israeli # Wataigawanya nchi Wataigawa nchi # Yuda itasalia "Kabila la Yuda litabaki" # nyumba ya Yusufu Hapa neno "nyumba" inawakilisha wazawa wa Yusufu. Kirai kinayarejelea makabila ya Efraimu na Manase.