# Mpaka wao "Mpaka wa nchi iliyo mali ya kabila la Yuda" # Akirabimu...sini....Hebroni... Addari...Karka...Azimoni Haya ni majina ya sehemu/mahali # kijito cha Misri huu ni mto mdogo wa maji katika ukingo wa upande wa kusini magharibi mwa nchi, karibu na Misri.