# Musa aliwapa urithi nusu ya kabila la Manase Nchi ambayo Musa aliwapa nusu ya kabila la Manase inazungumziwa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao aliwapa kama mali ya kudumu. # nusu ya kabila la Manase Ni nusu tu ya kabila ilipokea nchi hii kwasababu nusu nyingine ilipokea nchi katika upande mwingine wa mto Yordani. # Uligawiwa Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Musa aliugawa" # Mahanaimu...Yairi...Ashitarothi...Edrei. haya ni majina ya mahali/sehemu # Makiri Hili ni jina la mwanaume. # hii iligawanywa Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Musa alizigawa hii miji"