# Basi Neno hili limetumika hapa kuonesha pumziko katika habari kuu. Hapa mwandishi anaanza kutoa maneno ya nyuma. # hawa ni wafalme inawarejelea orodha ya wafalme na inaendelea mpaka katika mstari wa 24 # Araba... Aroeri Haya ni majina ya mahali/sehemu # Sihoni... Heshiboni Tafsiri maneno haya kama vile ulivyofanya katika 9:9