# Walisema Kiwakilishi 'wa' kinawarejelea Wagibeoni. # Msiuondoe Hili ni ombi la upole lililoelezwa kwa kauli hali lakini likitegemea tendo chanya. # mikono yenu Neno 'mkono' lina maana ya nguvu za watu wa Israeli. "Tumia nguvu zako kutulinda sisi."