# Yordani Hili ni jina la Mto Yordani # Sihoni Hili ni jina la Mfalme wa Waamori aliyeshindwa. # Heshiboni Hili ni jina la mji wa kifalme wa taifa la Moabu. # Ogu Hili ni jina la mfalme wa Bashani aliyeshindwa # Ashitarothi Hili ni jina la mji uliojulikana kwa kuabudu mungu mke aliyeitwa kwa jina hilo hilo.