# Sauti yoyote isitoke vinywani Sauti yoyote isitoke vinywani Sauti kutoka vinywani mwao inarejelea kuongea au kupiga kelele kwao # Lakini Yoshua aliwaagiza watu Yoshua alikuwa amewaamuru watu kabla ya kuanza kutembea kwa kuuzunguka mji.