# Maelezo ya jumla Wapelelezi wa Kiisraeli wanatoa ahadi ambayo Rahabu aliiomba # Maisha yetu kwa ajli ya maisha yenu Hii ni njia nyingine ya kusema, " Kama tukifa, mtakufa. Kama tukiishi, nanyi mtaishi."