# Maelezo ya jumla Rahabu yule kahaba aliwahifadhi wale wapelezi wawili wa Israeli ili wasidhuriwe. # Lakini mwanamke alikuwa amewachukua na kuwaficha Tukio hili lilifanyika kabla ya wajumbe wa wafalme hawajaongea naye. # Mwanamke Neno hili linamrejelea Rahabu, kahaba. # Machweo Huu ni muda ambao siku inaanza kubadilika na kuwa giza la usiku.