# Nuni Huyu ni baba yake na Yoshua # Shitimu Hili ni jina la mahali katika upande wa mashariki wa Mto wa Yordani. Ina maana ya "Miti ya Akasia." # Wapelelezi Hawa ni watu waliotembelea nchi ili kupata taarifa juu ya jinsi ya Israeli kuitwaa.