# Maelezo kwa ujumla Yoshua anaendelea kuongea na Warubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase. # Watoto wenu "watoto wenu wadogo" # ng'ambo ya Yordani Inarejelea upande wa mashariki wa mto Yordani. baadaye Waisraeli wengli waliweza kuishi magharibi wa Yordani, hivyo wakaaita sehemu ya mashariki "ng'ambo ya Yordani' Lakini kwa wakati huu watu wote wakali katika upande wa mashariki mwa Yordani. # kuwapa ndugu zenu pumziko Hii inarejelea waisraeli kuwashinda manabii wao wote wanaokaa katika nchi ya Kanaani ambao walipaswa kuwashinda. # uta........ na kuimiliki Hii ina maana ya kuishi maisha yao kwa amani katika nchi # ng'ambo ya Yordani, mahali jua linapochomoza Inarejelea upande wa mashariki mwa mto wa Yordani.