# Maneno ya jumla Makabila ya Rubeni, Gadi na nusu ya kabila la Manasee yalichagua kukaa mashariki mwa Mto wa Yordani. # Warubeni Hawa ni wazawa wa Warubeni. # Wagadi Hawa walikuwa ni wazawa wa Gadi.